Author Archives

 Read More →
filed under: New Release

Bodi ya Filamu watembelea Ofisi za Proin

 Mjumbe wa Bodi ya Filamu kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Bi.Vicensia Shule(wa kwanza kutoka kushoto) akimwuliza  jambo Mwenyekiti wa makampuni ya Proin Bw,Johnson Lukaza(hayupo pichani) leo jijini Dar es salaam walipotembelea kujionea  miundombinu ya kampuni hiyo.Kutoka kulia ...
filed under: News and Events

MPANGO MBAYA

 Read More →
filed under: New Release

Filamu ya Mpango Mbaya Yazinduliwa

Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin Group, Bw Johnson Lukaza akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa filamu ya Mpango Mbaya iliyochezwa na washiriki wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) mwaka 2014, uzinduzi huo ulifanyika katika ukumbi wa sinema wa century uliopo Mlimani City, Jijini ...
filed under: News and Events

NIMEKUBALI KUOLEWA

 Read More →
filed under: New Release

MCHEPUKO

 Read More →
filed under: New Release

Proin na Ubelgiji kuuza Movie Online

 Mwenyekiti wa Proin Group Tanzania ndugu Johnson Lukaza akizungumza machache na kuwashukuru watu wote waliohudhuria uzinduzi wa manunuzi ya filamu za kitanzania kupitia mtandao (online) hapo jana katika ukumbi wa ACP House jijini Brussel nchini Ubelgiji na kuudhuriwa na watu wa mataifa mbalimbali.Uzinduzi ...
filed under: News and Events

C.P.U

 Read More →
filed under: New Release

PROIN WOMEN TAIFA CUP 2014/2015

Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo, Mh Dkt Femella Mukangara (wa pili kushoto) akiwasili katika uwanja wa Azam Complex Chamanzi wakati wa fainali ya Mashindano ya Proin Women Taifa Cup yaliyofikia Tamati leo kwa kuzikutanisha Timu za Temeke na Pwani. Waziri wa habari utamaduni na Michezo, ...
filed under: News and Events

TMT Season 1

 Read More →
filed under: Featured

Create AccountLog In Your Account