You are here: Home // News and Events

Bodi ya Filamu watembelea Ofisi za Proin

 Mjumbe wa Bodi ya Filamu kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Bi.Vicensia Shule(wa kwanza kutoka kushoto) akimwuliza  jambo Mwenyekiti wa makampuni ya Proin Bw,Johnson Lukaza(hayupo pichani) leo jijini Dar es salaam walipotembelea kujionea  miundombinu ya kampuni hiyo.Kutoka kulia ...
filed under: News and Events

Filamu ya Mpango Mbaya Yazinduliwa

Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin Group, Bw Johnson Lukaza akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa filamu ya Mpango Mbaya iliyochezwa na washiriki wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) mwaka 2014, uzinduzi huo ulifanyika katika ukumbi wa sinema wa century uliopo Mlimani City, Jijini ...
filed under: News and Events

Proin na Ubelgiji kuuza Movie Online

 Mwenyekiti wa Proin Group Tanzania ndugu Johnson Lukaza akizungumza machache na kuwashukuru watu wote waliohudhuria uzinduzi wa manunuzi ya filamu za kitanzania kupitia mtandao (online) hapo jana katika ukumbi wa ACP House jijini Brussel nchini Ubelgiji na kuudhuriwa na watu wa mataifa mbalimbali.Uzinduzi ...
filed under: News and Events

PROIN WOMEN TAIFA CUP 2014/2015

Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo, Mh Dkt Femella Mukangara (wa pili kushoto) akiwasili katika uwanja wa Azam Complex Chamanzi wakati wa fainali ya Mashindano ya Proin Women Taifa Cup yaliyofikia Tamati leo kwa kuzikutanisha Timu za Temeke na Pwani. Waziri wa habari utamaduni na Michezo, ...
filed under: News and Events

Filamu Kuuzwa Mtandaoni

 Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Mh Dkt Fenella Mukangara akisoma hotuba fupi wakati wa hafla iliyoandaliwa na Kampuni ya Proin Promotions Ltd kwaajili ya Kuzindua Huduma ya Kuuza Filamu zake kupitia Mtandao. Akiongea na wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo iliyofanyika katika Hoteli ...
filed under: News and Events Tagged with: ,

TMT SEASON 2

Baadaya ya msimu wa kwanza wa TMT Kuisha kwa Mwanaafa Mwinzago kunyakua kitita cha Shilingi milioni 50 na kufanya sinema ya kimataifa. Sasa ni wakati wa msimu wa pili. Baada ya Mtwara ni mkoa upi utafuta kuchukua zawadi ya shilingi milioni 50 tena. Katika msimu wa pili zawadi ya mshindi ni ileile na ...

UJIO MPYA WA LULU 2015

Katika waigizaji waliofanya vizuri sokoni mwaka jana mmojawapo ni Elizabeth Michael ama kama wengi mnavyomjua ‘LULU’. Katika mwaka 2014 Lulu ametuo sinema mbili amazo zimeweza kufanya vizuri katika soko na hata uigizaji wake umekuwa tofauti. Swali ambalo kila mtu anajiuliza sasa Je Lulu atakuja ...

MWANAAFA AANZA SHULE

Mshindi wa Milioni Hamsini za Shindano la Tanzania Movie Talents 2014, Ameanza shule kama alivyoahidiwa na mwenyekiti Proin group. Mwanaafa Ambaye mwaka jana alishinda kwa kuwa muigizaji bora katika ya 20 walichaguliwa kutoka Tanznaia nzima ameanza kusoma katika shule ya msingi ya Green Acres. Mbali ...

TMT MWANZA

 Read More →
filed under: News and Events

TMT RED CARPET

 Read More →
filed under: News and Events

Create AccountLog In Your Account