Elizabeth Michael

UJIO MPYA WA LULU 2015

By:
Jan. 13th, 2015

Katika waigizaji waliofanya vizuri sokoni mwaka jana mmojawapo ni Elizabeth Michael ama kama wengi mnavyomjua ‘LULU’. Katika mwaka 2014 Lulu ametuo sinema mbili amazo zimeweza kufanya vizuri katika soko na hata uigizaji wake umekuwa tofauti.

Swali ambalo kila mtu anajiuliza sasa Je Lulu atakuja na nini katika huu mwaka. Jibu ni dogo tu Ifikapo katikati ya mwaka huu Mabadiliko katika Tasnia ya filamu yataonekana baada ya utambulisho wa sinema yake mpaya ambayo inapikwa. Kwasasa filamu mpya lulu iko kwenye utayarishaji wa awali wa uandishi wa mswaada.

Lulu anasema tutegeme makubwaa kwani anataka kazi ambayo itakuwa ni ya kisasa zaidi.

Create AccountLog In Your Account