TMT 2015

TMT SEASON 2

By:
Jan. 13th, 2015

Baadaya ya msimu wa kwanza wa TMT Kuisha kwa Mwanaafa Mwinzago kunyakua kitita cha Shilingi milioni 50 na kufanya sinema ya kimataifa. Sasa ni wakati wa msimu wa pili. Baada ya Mtwara ni mkoa upi utafuta kuchukua zawadi ya shilingi milioni 50 tena.

Katika msimu wa pili zawadi ya mshindi ni ileile na pia katika kila kanda watapata shilingi laki tano kwa wale tatu bora na kwa Dar es salaam wale tano bora watapata shilingi laki tano kila mmoja.

Katika awamu hii kuna mengi mapya yanaandaliwa na katika hatua hii ya awali tunasikia kwamba waigizaji wengi wanajionoa kwa ajili ya usaili utakaonaza katika robo ya kwanza ya 2015.

Tanzania movie Talents 2015, ‘Reaching for the stars’ Lengo ni lilelile kuinua vipaji vya waigizaji na kuweza kuwapa uwezo wa kujikwamua kimaisha

Create AccountLog In Your Account